Hii picha katika Ajira Mianne kugombea na watu Elfu hamsini na sita sio mchezo !

Hapa ni wazi hapakosi mianya ya rushwa. Halafu ni dalili mbaya za kuwepo kwa umasikini na ufukara wa kutisha. Ajira kama hizi inatakiwa ikose watu wa kuomba mpaka watangaza ajira watoe bonus kwa watakaojitokeza kuomba. Wahitimu wakiwa na shughuli zao za kuingiza kipato cha kueleweka, nani ataenda kusota kuomba nafasi hiyo? Njaa kali, hakuna ajira inabidi wajitokeze wengi kuomba ajira hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…