Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Unafahamu nini kuhusu protocol?!View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Angestaafu kwa wakati angejiepusha na dhahama hizo.View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Swali nilijiuliza mwenyewe jana sana sikupata jibu.
πUkiwatazama walivyokaa hapo, unaweza fikiri ninwatu wa maana sanaaaaa wanajua wanachofanyaaa kumbe wehu watupu wamerundikana hapo
ProtocolView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Bora hata hao. Ninachosikitika ni kwamba Watanzania wamesimama, halafu mtu mmoja kutoka nchi ya watu wenye pua ndefu, sura ndefu na shingo ndefu, amekaa. π Ndo maana PK anajiamini hakuna serikali ya kumtunishia misuli hapa East Africa, zote ziko kiganjani mwake.View attachment 3407055
Namba 1, 2 na 3 wasingepaswa kukaa kabla ya mzee Mkuchika.
Soma post #10 πππProtocol
Hayo ni mambo ya itifaki ndugu. Itifaki haingalii umri.View attachment 3407055