05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Kiongozi hem edit uzi wako andika kilichopaswa kufanywa kulingana na sheria na taratibu.
Maana kwa upesi upesi mimi nadhani protocol ndozo zinaongea nani akae wapi na si umri.
Heb nieleze kulingana na protocol ipoje maana ukiongelea umri mkuchika angekaa kwa Samia hapo
Af akina kabudi, akina lukuvi pembeni yake sio ??