TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,199
- 13,029
Na wameshupaza shingo kutaka vijana wajiajiri..Wazee wamegoma kustaafu

Inavunjwa katiba ya nchi..hizo protocol zitaondoa nini zikivunjwa..Protocol
OK maana hata Mimi nilivunja kilingeInavunjwa katiba ya nchi..hizo protocol zitaondoa nini zikivunjwa..
..itifaki ni msahafu?Hayo ni mambo ya itifaki ndugu. Itifaki haingalii umri.
Kama kazeeka sana akae pembeniView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Huyo huwa hamaanishi anachosema; huwa ni mipasho tu, ndiyo maana hatiliwi maanani kwa lolote.Lakini kuna kipindi Raisi Samia alisema Vijana tuwapishe wazee kwenye viti hasa kwenye usafiri wa umma. Imekaaje hapo mbona vijana hawajampisha Mzee Mkuchika kukalia kiti?
Au ile kauli ilitulenga sisi vijana tusio kuwa viongozi wa Chama na Serikali?
Protocol mkuu!View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Wewe unafahamu kipiUnafahamu nini kuhusu protocol?!
Ukiachana na protokali. Inawezekana zilipigwa nyingine ambazo alikaa pia wakachagua hii kupeleka kwa hadharaView attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Na mm nilishangaa sana!Swali nilijiuliza mwenyewe jana sana sikupata jibu.
Shida ni kwa kapten Mkuchika kuendelea kung'ang'ania nafasi za vijana, asilalamike akisimama si anajifanya kijana?View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Oi umekuja kuwaje?! Unakuwa mwano genta kilaza!!Wewe unafahamu kipi
Amejidhalilisha yeye mwenyewe kwa UROHO wa madaraka, alipaswa kustaafu siku nyingi tu.View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Itifaki ,View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Nimekuuliza protocal wewe unazijua ?!Oi umekuja kuwaje?! Unakuwa mwano genta kilaza!!
NdioNimekuuliza protocal wewe unazijua ?!