Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,967
- 8,763
Hapo hawajakalia umri , ingukua hicho ndio kigezo hata Mama Samia angesimamaSwali nilijiuliza mwenyewe jana sana sikupata jibu.
Hapo hawajakalia umri , ingukua hicho ndio kigezo hata Mama Samia angesimamaSwali nilijiuliza mwenyewe jana sana sikupata jibu.
Si alikuwa waziri asiye na wizara maalum,huenda wenye viti ni ni wenye kazi maalum🙂View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Inaonekana mzee ni mnyenyekevu kwake ameona kusimama si shida,View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Mmomonyoko wa maadili unazidi kuongezeka nchini.Mimi nimejiuliza swali tu, nasikia umri dawa
Agiza chochote nakuja kulipa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani umesema sawasawa na jinsi walivyo, wehu watupu wamejazana hapo 😅😅😅Ukiwatazama walivyokaa hapo, unaweza fikiri ninwatu wa maana sanaaaaa wanajua wanachofanyaaa kumbe wehu watupu wamerundikana hapo
Mnadhimu Mkuu Lukuvi. Iko sahihi picha.🙏🙏🙏View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Baraza lijalo inafaa wakina mama wapewe wizara nyingi zaidi za kuongoza.View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Mzee Mkuchik.a ni askari mkakamavu msimuomee hurumaLakini kuna kipindi Raisi Samia alisema Vijana tuwapishe wazee kwenye viti hasa kwenye usafiri wa umma. Imekaaje hapo mbona vijana hawajampisha Mzee Mkuchika kukalia kiti?
Au ile kauli ilitulenga sisi vijana tusio kuwa viongozi wa Chama na Serikali?
Wengi hawamfahamu mzee George Mkuchika.Hicho sio kikao cha ukoo hapo wamekaa kulingana na vyeo vyao sijui ulitaka akae kwa nani hapo?
mwalimu ni babake, yeye alikuwa mjeda aliwahi kuwa PEO wetu pale Ruvu jkt, he was a very smart guyWengi hawamfahamu mzee George Mkuchika.
Ni mzee, kwanza alianzia kazi ya ualimu na baadaye kwenye siasa.
Nilimfahamu kupitia Mwalimu wangu aliyeitwa Chiwile ambaye sasa ni marehemu,
Mzee Mkuchika hana makuu,
Miaka yote hana scandal,
Hana kujikweza pamoja na utumishi wake ulio tukuka,
Aliwahi kuwaonya watu wenye madaraka wawe na kiasi,
Mzee Mkuchika ni mcha Mungu
Hao vijana waliokaa sasa .......
Kuna wenye fleet za mabasi,
Kuna wennye maghorofa kadhaa nchini,
Kuna weneye wake wengi kama mfalme Daudi,
Kuna wenye ukwasi wa kutisha pamoja na kwamba ni awamu zao za kwanza uwaziri.
Neno linasema;
Ayubu 12 : 12
12 Wazee ndio walio na hekima, Na katika kuishi siku nyingi iko fahamu.
Wananchi tuna wafahamu viongozi wetu.
Sio kwenye picha tuu, na CCM kuna vitu havipo sawa, serikalini kuna vitu havipo sawa, kinchi kuna vitu havipo sawa na kitaifa pia kuna vitu havipo sawa.View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.
Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika ambaye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.
Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Jibu sitahiki apumzikeSwali nilijiuliza mwenyewe jana sana sikupata jibu.
Amnyanyue namba moja nadhani ndo kasababisha haiwezekani mzee ampe kajicheo kati ya vyeoDunia haina haki
Angempa nafasi ka huyu mbona angekaaAmnyanyue namba moja nadhani ndo kasababisha haiwezekani mzee ampe kajicheo kati ya vyeo
Raia wa nchi gani? kuna mpaka Waarabu na Wahindi(ambao ni raia) kwenye mfumo.Bora hata hao. Ninachosikitika ni kwamba Watanzania wamesimama, halafu mtu mmoja kutoka nchi ya watu wenye pua ndefu, sura ndefu na shingo ndefu, amekaa. 🙆 Ndo maana PK anajiamini hakuna serikali ya kumtunishia misuli hapa East Africa, zote ziko kiganjani mwake.
Kwa huo mkao ni itifaki imezingatiwa na siyo suala la Mkuchika kuwa wa siku nyingi Ikulu. Hapo ni mpangilio wa kiitifaki tu na siyo blah blah unayotaka kutuchafulia bongo zetu hapa.View attachment 3407042