Hii picha kuna kitu hakiko sawa: Mzee George Mkuchika amesimama vijana wamekaa

Hii picha kuna kitu hakiko sawa: Mzee George Mkuchika amesimama vijana wamekaa

Kiongozi hem edit uzi wako andika kilichopaswa kufanywa kulingana na sheria na taratibu.


Maana kwa upesi upesi mimi nadhani protocol ndozo zinaongea nani akae wapi na si umri.

Heb nieleze kulingana na protocol ipoje maana ukiongelea umri mkuchika angekaa kwa Samia hapo
Af akina kabudi, akina lukuvi pembeni yake sio ??
Hivi kuna protokali inayoheshimiwa zsidi kuliko kutanguliza hekina na busara ya uzee?
Nikuulize tu, kwani Lukuvi anaweza kumtuma mafaili mzee Mkuchika?
 
Hivi kuna protokali inayoheshimiwa zsidi kuliko kutanguliza hekina na busara ya uzee?
Nikuulize tu, kwani Lukuvi anaweza kumtuma mafaili mzee Mkuchika?
Kiongoz unadhan samia hamtumi kabudi, mkuchika, lukuvi, .. mkuu wa usalama .
 
Mkuchika hana Wizara yoyote anayoongoza
Lukuvi ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Kiutaratibu yeye ndo huongoza shuguli za Serikali ikiwa Waziri Mkuu au Naibu Waziri hayupo..

Na 2 Ni Raia namba 5 kwa sasa ... Ukiacha Rais, Makamu wa Rais , Wazir Mkuu na Naibu Waziri Mkuu hao mawazir wote waliobaki yeye ndo boss wao (Katibu Mkuu Kiongozi kwenye Baraza la Mawaziri yeye Katibu wa Baraza pia mkuu wa Watumishi wote wa Umma ...

Huyo na 3 uliyemchorea ni Katibu Mkuu Ofisi ya wa Rais Ikulu hapo anakua boss pia kwa mawaziri

Mambo ni mengi
Biteko na mkuchika wote huyu hana wizara huyu katiba ya nchi haitambui Naibu waziri mkuu
 
View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.

Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.

Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Nasoma hizo facial expressions zao tu.
 
View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.

Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.

Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
kuna wakati tutaanza kujadili mtoto asilalie kitanda cha 6×6 na mkewe wakati mzee wake yuko na 5x6. Hujui biteko anaweza kumuagiza mzee mkuchika; usitumie uzee wako au ukongwe kituoni kwenda kumuamsha mkuu wa shule kwenye kiti. Staafu kama unataka kutumia umri kazini na vyeo kazini.
 
Hicho sio kikao cha ukoo hapo wamekaa kulingana na vyeo vyao sijui ulitaka akae kwa nani hapo?
View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.

Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.

Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
 
View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.

Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.

Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!
Wacha asimame kwani angetulia nyumbani kulea wajukuu na vitukuu angepungukiwa nini?
 
Shida ni kwa kapten Mkuchika kuendelea kung'ang'ania nafasi za vijana, asilalamike akisimama si anajifanya kijana?
kwani hapo ni shambani kuwa vijana wana nguvu za kulima? ni hekima ndo inatafutwa, tulivyopata uhuru, rais alikuwa na miaka 36 kijana kabisa alifanya nini?

tumeajiri vijana 1800 tra hatuoni ongezeko la kodi, sijui tuwatimue wakafanye kazi ya lubet
 
View attachment 3407042
Kuna kitu hakiko sawa, sijui kama nanyi wana JF mme note.

Waziri wa siku nyingi, mzee George Huruma Mkuchika amabye yuko Ikulu miaka mingi, kiasi cha vijana wengi mawaziri kumuamkia shikamoo.

Kaachwa amesimama, wakati vijana wamekaalia viti!!
Kuna kitu hakiko sawa!

Shida nyie vijana hamjui. Mkuchika ni Captain. Mjeshi huyo, hana shobo. Katika kundi hilo, yeye pekee ndiyo mjeda
 
Back
Top Bottom