Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

Hii picha nimeona ameposti shabiki wa Yanga

P h a r a o h

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
785
Reaction score
1,413
Screenshot_20250106-212325_1.jpg

Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa.

Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto
(kubwa jinga).
 
Back
Top Bottom