Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Yo I live my life & I speak my mind the way you do though we aren't on the same plate Boy,kwa hyo na mm niache usinifokee
So what expect? Wee unazungumzia juu ya maisha binafsi ya watu ambapo kwa fikra na mtazamo wako unaona sio sahihi,
Ndo maaan nakuhusia hivyooh. Wala sikufokei relaaaaax
 
Mkuu yule shemeji yako aliyekurukisha vichurachura na dada yako wanajua kwamba unafumuliwa marinda??
Kujua au kuto kujua hilo ni suala langu binafsi, haliwahusu na wala halihusiki hapa.
 
Huo mtaa ni mtaa wangu sema sijapita siku nyingi sana aiseee.
Ni mtaa unaoongoza kuwa na vijana wanajifanya wa mjini mjini
Upo sahihi maeneo hayo ndiko Wana hang out hao unaosema wa mjini mjini.
 
Usirudie kuniquote tena kwenye uzi wowote..sawa?

Kapigwe miti huko wewe dada mvulana
 
Wewe hujielewi, ameshasema jamii itaathirika vizazi vitaona kuwa ni normal ishu wakati si normal, jinsia moja wakioana watu watazaliana vipi?
 
Wewe hujielewi, ameshasema jamii itaathirika vizazi vitaona kuwa ni normal ishu wakati si normal, jinsia moja wakioana watu watazaliana vipi?

Hana akili achana nae. Eti haoni athari yoyote!
 
Wenzake wako na watoto warembo hivyo, yeye anaukatikia wa mzungu, dah!

Hahaha Mkuu hii zama wanaume kweli kweli(Straight men) wanabaki wachache sana maana shetani anamzidi speed Yesu..! Anageuza watu mashoga na matukio mengi ya hovyo
 
Kuna mgombea mmoja wa urais tz kasema na BBC HARD TALK kuwa atawatetea, kuwalinda, na kufuta sheria zote zinazowazuia watu wa jinsia moja kupelekana kwampalange!! kazi kwenu.
Kashaikosa kura yangu huyo.
 
Hahaha Mkuu hii zama wanaume kweli kweli(Straight men) wanabaki wachache sana maana shetani anamzidi speed Yesu..! Anageuza watu mashoga na matukio mengi ya hovyo

Kuna video moja jamaa anasema, let them be, and they leave more ladies for us to enjoy. Na kile kiingereza chake cha Uganda ndio kinanivunja mbavu kabisa.
 
Wewe hujielewi, ameshasema jamii itaathirika vizazi vitaona kuwa ni normal ishu wakati si normal, jinsia moja wakioana watu watazaliana vipi?
Lol, hua nina wasiwasi na mitungi yenu ya akili kama hua inashuka ujazo au ipo empty kabisa,

Homosexuals hawajaanza karne hii, miaka na miaka walikuwepo na Heterosexuals walikuwepo na dunia ilizaliana na maisha yalisonga,

Matasa na Wagumba walikuwepo karne na karne na wazima walikuwepo na dunia ilisonga, (umepata point yangu au niongeze sauti?[emoji851])
 
Naona wasagaji tumewagusa mmewaka kama mbogo.hahaha
Sasa kama ni private yako kwanini mtutangazie hapa huoni mnaweka public?
Sasa mnatulaumu nini ikiwa mnataka wazi tuone ni kawaida wewe kufukunyuliwa kwa mpalange? Wazazi wako kama wangejua unafukunyuliwa kisogon wangekulaani.

LA mwisho nipe huo uthibitisho kwamba dunia ni duara?

Dawa inawaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…