Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hatumpangii mtu maisha ila tunasikitika kumuona baharia alivyo usaliti ule utamu wote tunao upata kwenu wanawake, mnajua nyie viumbe wa kike ni Watamu sana hapo kati [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Kitendo cha kutaka wote muone utamu wa mwanamke ndio kupangiana maisha huko.... amechagua njia yake inayompa utamu.
 
Kitendo cha kutaka wote muone utamu wa mwanamke ndio kupangiana maisha huko.... amechagua njia yake inayompa utamu.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419] sina cha kuongeza.
 
Fuatilia muziki wao, matumizi ya sehemu zao za siri hayakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…