Hilo la kuhusu kudate kindugu lipo tangu enzi na enzi, na km wana ndugu kwa akili na utashi wao wenyewe wameamua kuwa wapenzi, mie ina ni athiri vipi?
Ni aina ya maisha ya faragha zao walizoamua kua nazo, sina uhuru wala ruksa kuingilia, hata km si sahihi kwa mtazamo wa kawaida hivyo inabaki kuwa nadharia tyuuh.
Huyo mwanangu akiniuliza kuhusu Gayism ntamuweka wazi kwa kila kitu kuhusu suala hilo, sasa itakua ni uamuzi wake ktk fikra na mtazamo wake.
Kwa vyovyote vile itakavyokuwa, sitaweza kupinga au kuzuia kwani ni uhuru wake kufuata mlengo wa hisia zake kwenye faragha aipendayo. Na haitabadilisha uhalisia kua ni mwanangu hata km sitakua the same juu ya hilo suala. Still ts his own life.
Dunia ni Duara.