Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Sasa unafikiri yeye hana akili mpaka ashindwe kutafuta fake girlfriend ili kuficha maovu yake huwezi jua huenda manzi wake yuko huko mambele sio kama wewe mwenye mademu kumi wote kutoka mbagara
 
Kwaiyo kwako ni sawa tu? Hujaona tatizo apo kila kitu kiko sawa?
Ndiyo.
Kila kitu kipo sawa kabisa.Na mimi ni nani mpaka nimpangie huyo mtu asiyenijua maisha yake.Ningekuwa na opinion kama nina udugu naye na nina mfahamu.Why nirudie kulaani kule kule ambako kila mtu ameshalaani na wala haitomfanya abadilike.

Kwa hiyo wanaume kufirana sio sawa ila mwanamme kumfira mwanamke ni sawa???
 
Huo mchezo kote ni kubaya si kwa mwanaume au mwanamke.
Ndiyo.
Kila kitu kipo sawa kabisa.Na mimi ni nani mpaka nimpangie huyo mtu asiyenijua maisha yake.Ningekuwa na opinion kama nina udugu naye na nina mfahamu.Why nirudie kulaani kule kule ambako kila mtu ameshalaani na wala haitomfanya abadilike.

Kwa hiyo wanaume kufirana sio sawa ila mwanamme kumfira mwanamke ni sawa???

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Waliopandwa na hasira ukifatilia wanaume ni wengi afu wafiraji.Mwachieni mtu kijambio chake.Ombea familia yako.
Kama kuna kuombea basi bila shaka jambo ni baya
 
Kila mtu anaona sahihi kwake kulingana ma matakwa ya hitaji lake, usitake mtazamo na fikra au mapendekezo yako basi yawe sawa wengine, haiwezekan kamwe.

Kila mtu na life style yake ambayo anaona kwake ni sawa. Na ujue kila mtu ana hako na uhuru was kufanya jambo ambalo kwake ni sahihi pasipo kuathiri mwingine. Hakuna kupangiana.

Acha kila mtu aishi maisha yake binafsi, live ur own life.
Ila Baby unavyonifanyia sio kabisa
 
Wala hueleweki unatetea gayism au unapiga vita
Mifiraji na inapigia debe ufiraji.Then wanaumizwa na kijambio cha mwenzao.
Wanawake hapa inabidi tusimame maana mambo yanabadilika kwa kasi ya ajabu.Wanaume hawautaki uanamme na majukumu yake kadri siku zinavyoenda.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kama kuna kuombea basi bila shaka jambo ni baya
Kwani utajiri ni mbaya?Mbona huwa tunaomba tutajirike,tufanikiwe na tiwe na afya njema??
Matumizi ya viungo vyake ni maamuzi yake.Hata kama ni mabaya there is nothing you can do.
 
Back
Top Bottom