Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Nina wasi wasi na ubongo wako km uko timamu wallah, hivi mbona sioni mantiki yako nn au unasimamia hoja ipi?

Suala la faragha yangu ni binafsi wala sio lazima liwe wazi kwa yeyote unless niamue iwe hivyo. Hata km ingekua kadri ya fikra na mtazamo wako,

Yes naishi maisha yangu binafsi ambayo nimeyachagua kua nayo na ninaya furahia haswaaaah, kuhusu huo umma unao uzungumzia kuona ni kawaida iwe unakubali au kukataa haibadilishi uhalisia na itabaki kua hivyo tu.

Poleeeeeeh sanaah.
Taira huwa hajioni watu ndo wanamuona kama ambavyo me nnavyokuona ulivyo na akili finyu utakuwa umeishia LA 7 b wewe.

Sasa hapa unachopinga nini? Na unachosapoti kipi? wewe na hao wali wenzao mbona mnapambana sana kuonyesha kuwa hiyo ni kitu ya kawaida kugeuzwa nyie wali?

Wazazi wengine wana hasara kuzaa matoto kama wewe.
Pole kwa kukwambia hivyo
Na sitojibu tena
 
Poleee San maan huna hoja na hujui nini kinazungumzwa, umekumbwa na mhemko usio na mantiki hata kidogo.

Hoja ni kwamba kila mtu anaishi maisha yake binafsi na kwa uhuru wake, na hakuna aliyetangaza hapo, maan hata huyo muhusika hajawahi kutangaza zaidi ya wanadamu kufuatilia maisha yake binafsi na kugundua hilo.

Na nikuulize wee kwani faragha ya mtu ni matangazo? Kana kwamba ni lazima iwekwe wazi? Kwahiyo jambo lisilo kawaida ambalo huusiki nalo au haliku athiri kwa chochote wee una umia kwa kipi?

Dunia ni Duara cous inajizungusha ktk mhimili wake, na sisi tulipo ndan ya Dunia tuna slide pasipo kuanguka.

Hebu relaaaaax
Sisi tunapinga wewe unatetea kwa kisingizio ni privacy kwani analiwa nje wazi ?
Na hata kama ni kwa siri sisi kama jamii tuna wajibu wa kunyoosha palipopinda kama mfano wake ukiwa wewe.

Kingine utawezaje kuslide halafu useme dunia ni duara kwanini isiwe flat maana una slide kama ulivyosema ..?

Jf nowadays imekumbwa na nini?
 
Taira huwa hajioni watu ndo wanamuona kama ambavyo me nnavyokuona ulivyo na akili finyu utakuwa umeishia LA 7 b wewe.

Sasa hapa unachopinga nini? Na unachosapoti kipi? wewe na hao wali wenzao mbona mnapambana sana kuonyesha kuwa hiyo ni kitu ya kawaida kugeuzwa nyie wali?

Wazazi wengine wana hasara kuzaa matoto kama wewe.
Pole kwa kukwambia hivyo
Na sitojibu tena
Unadhani ukinitusi au kutoa lugha chafu itabadilisha uhalisia? Wee ndo ukae chini uwaze na kuwazua suala hilo mtambuka linavyo kuumiza,

Tazama na ufikiri kwa kina uone nini mie nachokizungumza, punguza mhemko, maan huwez kuona mantiki yangu ni ipi kwa kuwa unataka fikra na mtazamo wako iwe sawa tena kwenye maisha binafsi ya mtu ambayo huusiki nayo wala haya kuathiri kwa chocjote, ni jambo ambalo haliwezekani never

Na mie sikujibu tena maan nimeshajua the way u are, enjoy ur own life.

..............
 
Me too nimeshajua the way your .
Fukunyuliwa salamaaaa
 
Sisi tunapinga wewe unatetea kwa kisingizio ni privacy kwani analiwa nje wazi ?
Na hata kama ni kwa siri sisi kama jamii tuna wajibu wa kunyoosha palipopinda kama mfano wake ukiwa wewe.

Kingine utawezaje kuslide halafu useme dunia ni duara kwanini isiwe flat maana una slide kama ulivyosema ..?

Jf nowadays imekumbwa na nini?
Tutabishana sana tena sana lakini uhalisia utabaki kua hivyo wala hakutakuwa na mabadiliko yeyote.

Muhimu ni kuwa ishi maisha yako binafsi ambayo umeyachagua, hayo maisha ya wengine hayakuhusu na huta husika nayo kwa namna yeyote ile ukubali au ukatae itabaki kua hivyo tuu.

Relaaaaaax
 
Sawa nikuache wali uendelee kuliwa maana ni maisha yako.

Keep it up
 
Kabisaaaah yaaan kuliwa kutamu, chezea mshedede wee, Jah n fundi mnooh, ktk vitu alijua kuumba basi ni Urungu wa nyama.

[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Huyo shoga aliingiaga jeshini na piga zake za kishoga.. alichokipata mbona alijiharishia [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nae khaaah huna hata dogo, tabia za kufanya mie unafanya wee sasa tofaut iko wap? [emoji2][emoji2][emoji2]

Umbea tyuuuuh utadhan umeulizwa hahahah waleleeeeeeeeeeeeeh,
Huko jeshi mbna nilienda had kwa mujibu wa sheria.
Makubwa tena uwiiiiiiiih
 
Back
Top Bottom