Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Wee nae khaaah huna hata dogo, tabia za kufanya mie unafanya wee sasa tofaut iko wap? [emoji2][emoji2][emoji2]

Umbea tyuuuuh utadhan umeulizwa hahahah waleleeeeeeeeeeeeeh,
Huko jeshi mbna nilienda had kwa mujibu wa sheria.
Makubwa tena uwiiiiiiiih
Kwa mujibu wa sheria usingeweza, wanapima wale kama marinda yamelegea hawakuchukui..

Labda uwe umetokea Tanga na Zenji ndio wana hiyo exception..
 
Dah hawa jamaa wanajua kuimba..
Wasingekua wanajua ningefuta ngoma zao zoote.
 
Kwa mujibu wa sheria usingeweza, wanapima wale kama marinda yamelegea hawakuchukui..

Labda uwe umetokea Tanga na Zenji ndio wana hiyo exception..
Poleeeeh sanaaah basi mie nime attend vilivyo jeshi kwa mujibu wa sheria.
 
Na vikete vyao vichache chache wanajifanga "wazungu wa unga" 0
Na haramu nyingine nyingi,

Ila usikosee ukanunua gari wanazouza ,

Ni nzuri na Bei zinavutia lakini hutakaa nayo Sana.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Swali kwa Swali hupatikana jibu, (filosofi hiyo)
Ungelijibu hilo swali ili uweze kuelewa point yangu, huwezi kuruka kutambaa ukataka kukimbia.

Kwa nyongeza, kwa opinion yako ni kua same sex ni mbaya sababu ya watoto blah blah, je same sex inaumiza vipi jamii?

Wewe na John mkioana sisi tunaumizwa wapi?
Madam.

Kwa mtazamo wako, watoto wakiamini kuwa same sex ni sawa, Hawa watoto hawajaumia?

Au unataka kuumia kwa kutoka Damu?

Kuhusu "filosofi" sio kila sehemu utatumia ndio Mana Kuna maswali ukitumia filosofi point of view unakua hauko sahihi lakini ukijibu kwa thiolojia point of view unakua sahihi!

Swali kwako? Kuumia kwa Jamii kwako una tafsir vipi?
 
Culture Me koment chochote juu ya hii paragraph ya pili
IMG_20200823_134823_626.jpg
 
hako kajamaa ka pili kushoto mbona kapunga kabisa
 
Mkuu usisahau kuwa hata hao ladies tunao achiwa nao wanadumbukia kwenye Shimo la homosexuality


Kinachonishangaza kwa hawa lesbians wanasema wanapenda vaginas, lakini cha kushangaza wanatumia dildos zenye mfano wa dick. Sasa kwanini wasitumie zenye kufanana na pussy?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji21]Yani inakeraa sanaa kusikiliza nyimbo ya shoga daah sema ndo vile tena kipaji kapewa lakini kanyimwa akilii
Kwan Nani shoga hapo
 
Back
Top Bottom