CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
UNA MEMORY card kali sana kwenye hicho kichwa chakoVipi wewe unaendeleaje? Nakukumbuka vizuri.
Uliiweza kuishinda hali?
wakati napita kusoma page kwa page,akilini nilikua namkumbuka
sana huyo mtu sema sikua nakumbuka id yake, nikiwa njiani narudi
si ndio nakutana na comment yako unaonyesha unamkumbuka,aseee nmetoa mijicho kinoma.