Mkuu nadhani huyo pengine huna undugu naye hata kidogo, labda ndugu zake wamekubali matokeo au wanaumia bila kuwa na la kufanya. Nadhani hayo ni maamuzi yake na mambo yake binafsi kabisa. So, yasikupotezee muda kabisa na ni vizuri kuheshimu maamuzi ya wengine hasa pale yanapokuwa hayakuathiri lolote katika maisha yako.Kwamba hata mkeo au mwanao akiwa anafukuliwa mtaro unamwacha tu kwa vile ni maisha binafsi si ndio hivyo?