Mke mtarajiwa Wa mwafulani huyo ,naona anajiandaa na maisha ya ndoa
Ndo yeye binamu
Ooh shaur yako
Mwe hebu tudokeze kidogo nkamu mwanani huyo?
Kiruuu..kweli hyo inaitwa nakomaa na jijiii
shilole mzuri sana anavutia afu anajua kumaintain mwili wake
Mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano Wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu
Kweli dunia hadaa..
Unadhubutu kuita watoto..mitoto:?? :O:O
Jaribu kuficha ujinga wako
Ndo nimeshawaita unatakaje kwa mfano labda? Kama uliona Mimi mjinga kwa nini umeni quote? Kama na wewe sio mjinga?
Halafu bibie usinifundishe jinsi ya kuandika, ilimradi umeona comment ipo apa bas sijavunja masharti ya JF , au na wewe umekuwa mods siku izi?