Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

Kwa muonekani huu huwezi dhania kama ni bingwa wa vigodoro! Lol
 
Inamaana hajafunga mwezi mtukufu? Au ni mwendelezo wa juu baibui ndani bikin
 
Mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano Wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu

Kweli dunia hadaa..
Unadhubutu kuita watoto..mitoto:?? :O:O
Jaribu kuficha ujinga wako
 
Kweli dunia hadaa..
Unadhubutu kuita watoto..mitoto:?? :O:O
Jaribu kuficha ujinga wako

Ndo nimeshawaita unatakaje kwa mfano labda? Kama uliona Mimi mjinga kwa nini umeni quote? Kama na wewe sio mjinga?

Halafu bibie usinifundishe jinsi ya kuandika, ilimradi umeona comment ipo apa bas sijavunja masharti ya JF , au na wewe umekuwa mods siku izi?
 
Kwa majibu unanipaga rahaa kwelii
 
Back
Top Bottom