Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

Huyu naye toka aache umama ntilie basi shida moja kwa moja
 
Ivi aliolewaga huyu? Halaf ndo akabwa? Mmh kuna type za kubwa ila shilole nakataa, alitak dudu mwenyew yule

hakubakwa muongo mkubwaa huyooo..!!!
kipnd anaanza usanii wala hakuwahi kusema hvyo ila alisema alipata mimba akiwa na 16 years form two baadae akaenda kuishi na yule bwana wakaachana ndo akaolewa tena na bwana wakaja dar wakashindwana tena alikua anakaa hananasif
We shilole kuja hapa.....!!!
Ukane maelezo yako...!!!
bina shilole muongoooo...!!!
 
haya shilole nimekuja......
mie nasema nilibakwa halafu unabisha unabisha nini.... ngoja nifanye collabo yangu na J Roo tuko kwenye hatua za mwisho....
 
haya shilole nimekuja......
mie nasema nilibakwa halafu unabisha unabisha nini.... ngoja nifanye collabo yangu na J Roo tuko kwenye hatua za mwisho....

Mmh kuna type za kubakwa ila kwa shilole ngumu kumesaa
 
Mmh kuna type za kubakwa ila kwa shilole ngumu kumesaa

hahaaaa halafu alikuaga analia huyo wakati anasimulia.
nilimsikilizaga kwenye Leo tena clouds baadae akaja kuhojiwq Sporah show full kumix matukio.... ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
haya shilole nimekuja......
mie nasema nilibakwa halafu unabisha unabisha nini.... ngoja nifanye collabo yangu na J Roo tuko kwenye hatua za mwisho....

hahaaaa...!!uache kubadili maneno maneno au umesahau ulivyoongea
na huna kolabo na jlo wala nameless kwa nyimbo gani?!!!
zile segere..???
 
hahaaaa halafu alikuaga analia huyo wakati anasimulia.
nilimsikilizaga kwenye Leo tena clouds baadae akaja kuhojiwq Sporah show full kumix matukio.... ukiwa muongo usiwe msahaulifu

muongo yule anajikanyagakanyaga tu
mi simsikilizagi chakubimbi yule
 
Mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano Wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu

Stupid..!!!!!!!!! Kwan watoto ndo nini????????? Au ww ni mgumba nini??????? Tena eti unaita mitoto.....!!!!!!! Shame on you lofa........
 
Stupid..!!!!!!!!! Kwan watoto ndo nini????????? Au ww ni mgumba nini??????? Tena eti unaita mitoto.....!!!!!!! Shame on you lofa........
Hanaolote mshamba tu ,na nyie mnaosema hati mama rhiana mbona yeye rhiana wamarekani wahajawai kusema kama shilole ,ilo lidada lishamba sijui linatoka wapi hapa tz?
 
Mmmh ni mwathirika wa umaarufu huyo atafanya chochote hata cha kudhalilisha utu wake ili tu asikauke midomoni na machoni mwa watu
 
Mnyonge Mnyongeni kapendeza sana daaaaaa! Mziwanda weeee unafaidije sasa ! ! :A S tongue:
 
Kubali kukosolewa wewe, hapa anazungumziwa shishi na sio watoto wake, kwani watoto wana kosa gani? Halafu hata huko Hollywood kama Rihanna akipiga picha za utata huwa anajadiliwa rihanna kama rihanna sio sehemu alikotoka, maana wewe ulishaanza oooh utafikiri hajatoka igunga, kwani what's wrong with igunga or up country in general ?
Think big ....!!
 
Wakuu vipi polepole bana mbona mabango aisee,umu wote tunapenda aya mambo tuvumiliane. Ha ha ha ha

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…