Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nuhu kapata mke kweli , apo hajaolewa kashaanza kuvaa bikini , naona akiolewa atakaa uchi kabisa.
Ivi aliolewaga huyu? Halaf ndo akabwa? Mmh kuna type za kubwa ila shilole nakataa, alitak dudu mwenyew yule
hakubakwa muongo mkubwaa huyooo..!!!
kipnd anaanza usanii wala hakuwahi kusema hvyo ila alisema alipata mimba akiwa na 16 years form two baadae akaenda kuishi na yule bwana wakaachana ndo akaolewa tena na bwana wakaja dar wakashindwana tena alikua anakaa hananasif
We shilole kuja hapa.....!!!
Ukane maelezo yako...!!!
bina shilole muongoooo...!!!
Mmh kuna type za kubakwa ila kwa shilole ngumu kumesaa
haya shilole nimekuja......
mie nasema nilibakwa halafu unabisha unabisha nini.... ngoja nifanye collabo yangu na J Roo tuko kwenye hatua za mwisho....
hahaaaa halafu alikuaga analia huyo wakati anasimulia.
nilimsikilizaga kwenye Leo tena clouds baadae akaja kuhojiwq Sporah show full kumix matukio.... ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano Wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu
Hahahaaa umenifurahsha sn,kumbe nawe wavifahamu vigodoro.Kwa muonekani huu huwezi dhania kama ni bingwa wa vigodoro! Lol
Hanaolote mshamba tu ,na nyie mnaosema hati mama rhiana mbona yeye rhiana wamarekani wahajawai kusema kama shilole ,ilo lidada lishamba sijui linatoka wapi hapa tz?Stupid..!!!!!!!!! Kwan watoto ndo nini????????? Au ww ni mgumba nini??????? Tena eti unaita mitoto.....!!!!!!! Shame on you lofa........
Picha ya mwanamuziki wa nyimbo za mduara nchini, Shilole Mohamed aka SHISHI BABY iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kama Insta.
Na kuwaacha mashabiki midomo wazi wakijiuliza kama huyu ni Shilole wa Igunga au Rihhana, kutokana na muonekane wake HOT n SEXY kama binti wa chuo.
![]()
Mnyonge Mnyongeni kapendeza sana daaaaaa! Mziwanda weeee unafaidije sasa ! ! :A S tongue:
Anazeeka vibaya uyu
Ndo nimeshawaita unatakaje kwa mfano labda? Kama uliona Mimi mjinga kwa nini umeni quote? Kama na wewe sio mjinga?
Halafu bibie usinifundishe jinsi ya kuandika, ilimradi umeona comment ipo apa bas sijavunja masharti ya JF , au na wewe umekuwa mods siku izi?
Gossipcopwarumi said:Ndo nimeshawaita unatakaje kwa
mfano labda? Kama uliona Mimi
mjinga kwa nini umeni quote? Kama
na wewe sio mjinga?
Halafu bibie usinifundishe jinsi ya
kuandika, ilimradi umeona comment
ipo apa bas sijavunja masharti ya
JF , au na wewe umekuwa mods
siku izi?
Kubali kukosolewa wewe, hapa anazungumziwa shishi na sio watoto wake, kwani watoto wana kosa gani? Halafu hata huko Hollywood kama Rihanna akipiga picha za utata huwa anajadiliwa rihanna kama rihanna sio sehemu alikotoka, maana wewe ulishaanza oooh utafikiri hajatoka igunga, kwani what's wrong with igunga or up country in general ?
Think big ....!!