Huyu ni Mbunge Mtarajiwa wa IGUNGA jamani....
Mueshimiwa shirore (in her own voice)...
hahaaaa halafu alikuaga analia huyo wakati anasimulia.
nilimsikilizaga kwenye Leo tena clouds baadae akaja kuhojiwq Sporah show full kumix matukio.... ukiwa muongo usiwe msahaulifu
Kubali kukosolewa wewe, hapa anazungumziwa shishi na sio watoto wake, kwani watoto wana kosa gani? Halafu hata huko Hollywood kama Rihanna akipiga picha za utata huwa anajadiliwa rihanna kama rihanna sio sehemu alikotoka, maana wewe ulishaanza oooh utafikiri hajatoka igunga, kwani what's wrong with igunga or up country in general ?
Think big ....!!
Ndo nshasema na nimesha post so what labda?
KWENYE BLUE HAPO MKUU..........
Me sijaelewa binti wa chuo ndo anakuwaje yaani....
Binti yeyote Wa chuo lazima awe classy na mwenye muonekano Wa kisasa zaidi , nimesema kama binti Wa chuo kwa kuwa ana umbo zur na dogo kama vile hakuwah kuzaa
Swali lingine?
Ushamba kufanyaje
Anashuti video na jeiloo hapo