Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

hahaaaa halafu alikuaga analia huyo wakati anasimulia.
nilimsikilizaga kwenye Leo tena clouds baadae akaja kuhojiwq Sporah show full kumix matukio.... ukiwa muongo usiwe msahaulifu

Kuna hisia uwa wanaziapata wasanii maarufu ambao walisota sana kutoka, so wakat Wa interview yeyote unajikuta msanii unalia , kuna jina lake kitaalamu nilisoma na ipo sana kwa mastaa wakubwa wengi tu wakihojiwa lazima walie, ni kumbu kumbu mbaya na furaha juu ya ustaa wlionao ndo vinawafanya walie na sio kwamba matukio wanayosimulia kwenye interview ndo vinawaliza ni hisia tu ambazo kitaalamu sijui wanaitaje nimesahau
 
Kubali kukosolewa wewe, hapa anazungumziwa shishi na sio watoto wake, kwani watoto wana kosa gani? Halafu hata huko Hollywood kama Rihanna akipiga picha za utata huwa anajadiliwa rihanna kama rihanna sio sehemu alikotoka, maana wewe ulishaanza oooh utafikiri hajatoka igunga, kwani what's wrong with igunga or up country in general ?
Think big ....!!

Ndo nshasema na nimesha post so what labda?
 
KWENYE BLUE HAPO MKUU..........

Me sijaelewa binti wa chuo ndo anakuwaje yaani....

Binti yeyote Wa chuo lazima awe classy na mwenye muonekano Wa kisasa zaidi , nimesema kama binti Wa chuo kwa kuwa ana umbo zur na dogo kama vile hakuwah kuzaa

Swali lingine?
 
Mzur mno..anaumbo zur kama hajawah kuzaa watoto wawili..achilia mbali mimba alizotoa..piga picha wema aje azae nyama zitakavyomdondoka...
 
Back
Top Bottom