CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Wako wangapi ?Wachezaji wa Simba walioitwa timu za Taifa ni wachache sana sema Media zinakuza tu
Ingia ukurasa wa Azam utaona wamepost. Unataka kusema Azam wajinga kiasi gani mpaka wapost kitu cha mwaka uliopita wakiweke leo? Na je huyo Inonga alikuwepo miaka iliyopita kwenye klabu ya Simba?Sio ya mwaka huu simba hawafanyii mazoezi uwanja wa boko veteran. Simba uwanja wao wa mazoezi ni MO ARENA
Povu hilo,huu mchezo hauhitaji hasira dada mkubwaunaonaje uache kushobokea post kama unaona ni upumbavu, pita kushoto sepaaaaaaa
Jonas Mkude anaamini hana Game fitness kabisa na ni ukweli kabisa Coz ana muda mrefu sana sio regular starter pale simbaInasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude
Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na matatizo ya kifamilia ila kwenye mazoezi ya simba yupo?????? duh
View attachment 1963875
Azam hawawezi kuandika Mo Arena kwa sababu ya kumpa Mo promo ,ndo maana wakaandika BokoIngia ukurasa wa Azam utaona wamepost. Unataka kusema Azam wajinga kiasi gani mpaka wapost kitu cha mwaka uliopita wakiweke leo? Na je huyo Inonga alikuwepo miaka iliyopita kwenye klabu ya Simba?
ni boko hapo huoni jukwaa lile? sijajua kwa nini leo hawajaenda bunju labda kama kuna ukarabati maana nasikia very soon ujenzi mkubwa wa uwanja unaanza soon, hapo boko veteran simba huwa hawalipishwi ile 400, 000 ya siku sababu Hans pope alihusika kiasi kikubwa kujenga huo uwanja huwa wanapewa punguzo kubwa ila team nyingine wanapiga kama kawaAzam hawawezi kuandika Mo Arena kwa sababu ya kumpa Mo promo ,ndo maana wakaandika Boko
Simba wamefanya uwekezaji mzuri.ni boko hapo huoni jukwaa lile? sijajua kwa nini leo hawajaenda bunju labda kama kuna ukarabati maana nasikia very soon ujenzi mkubwa wa uwanja unaanza soon, hapo boko veteran simba huwa hawalipishwi ile 400, 000 ya siku sababu Hans pope alihusika kiasi kikubwa kujenga huo uwanja huwa wanapewa punguzo kubwa ila team nyingine wanapiga kama kawa
Kinachonishangaza boko veteran wana uwanja kama huo ila timu nyingi za ligi kuu hazina viwanja vya kufanyia training
Kwani kaunda vipi?Kwani kule bunju vipi?
Sio kweli unonga hajaitwa timu ya taifa ya congoInasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude
Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na matatizo ya kifamilia ila kwenye mazoezi ya simba yupo?????? duh
View attachment 1963875
Ni ya mwaka gani?.Hao wachezaji wanaonekana kwenye hio picha wamesajiliwa lini Simba?,.Vipi kuhusu izo jezi mazoezi sio za msimu huu?.Sio ya mwaka huu simba hawafanyii mazoezi uwanja wa boko veteran. Simba uwanja wao wa mazoezi ni MO ARENA