Hii picha ya simba fc sijaielewa, ni ya leo kweli?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude

Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na matatizo ya kifamilia ila kwenye mazoezi ya simba yupo?????? duh

Screen Shot 2021-10-05 at 14.42.33.png
 
Yeah picha imepostiwa kwenye account ya azamsports2 ya Instagram lakini kikubwa si(SSC) wametoa picha nyingine jana kuonesha wachezaji walioitwa timu ya taifa so kama kuna makosa katika uploading nadhani watarekebisha
 
Kinachonishangaza boko veteran wana uwanja kama huo ila timu nyingi za ligi kuu hazina viwanja vya kufanyia training
 
Sio ya mwaka huu simba hawafanyii mazoezi uwanja wa boko veteran. Simba uwanja wao wa mazoezi ni MO ARENA
Ingia ukurasa wa Azam utaona wamepost. Unataka kusema Azam wajinga kiasi gani mpaka wapost kitu cha mwaka uliopita wakiweke leo? Na je huyo Inonga alikuwepo miaka iliyopita kwenye klabu ya Simba?
 
Kwanini ni boko veteran na si Mo arena?
 
Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude

Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na matatizo ya kifamilia ila kwenye mazoezi ya simba yupo?????? duh

View attachment 1963875
Jonas Mkude anaamini hana Game fitness kabisa na ni ukweli kabisa Coz ana muda mrefu sana sio regular starter pale simba

Kwahyo anaona ni bora aendelee kuipigania kwanza namba yake kabla kuenda Kikosi cha Taifa
 
Ingia ukurasa wa Azam utaona wamepost. Unataka kusema Azam wajinga kiasi gani mpaka wapost kitu cha mwaka uliopita wakiweke leo? Na je huyo Inonga alikuwepo miaka iliyopita kwenye klabu ya Simba?
Azam hawawezi kuandika Mo Arena kwa sababu ya kumpa Mo promo ,ndo maana wakaandika Boko
 
ni boko hapo huoni jukwaa lile? sijajua kwa nini leo hawajaenda bunju labda kama kuna ukarabati maana nasikia very soon ujenzi mkubwa wa uwanja unaanza soon, hapo boko veteran simba huwa hawalipishwi ile 400, 000 ya siku sababu Hans pope alihusika kiasi kikubwa kujenga huo uwanja huwa wanapewa punguzo kubwa ila team nyingine wanapiga kama kawa
 
Simba wamefanya uwekezaji mzuri.

Ila kuhusu hao wachezaji nahisi kuna namna Simba inakwepa mechi za hivi karibuni ili wachezaji wao wasiumizwe kwa ajili ya club bingwa
 
Hiyo picha achana nayo, inahitaji AKILI nyingi kuielewa ..... ! Sasa hivi vichwa vyetu vyenye chembe chembe za Misukule sio lahisi Kuelewa picha kama hiyo.
 
Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude

Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya taifa ya Congo ina maana bado hajaondoka? Mkude kapewa ruhusa maalumu kwenye team ya taifa kwamba na matatizo ya kifamilia ila kwenye mazoezi ya simba yupo?????? duh

View attachment 1963875
Sio kweli unonga hajaitwa timu ya taifa ya congo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sio ya mwaka huu simba hawafanyii mazoezi uwanja wa boko veteran. Simba uwanja wao wa mazoezi ni MO ARENA
Ni ya mwaka gani?.Hao wachezaji wanaonekana kwenye hio picha wamesajiliwa lini Simba?,.Vipi kuhusu izo jezi mazoezi sio za msimu huu?.
 
Tangu kichwa cha habari hauna uhakika na neno lako hata moja.

Mchosho tu.
 
Back
Top Bottom