Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi?

Ongeza ushauri zaidi
Screenshot_20230805-102544.png
 
Wengine Picha hazisomi ila Ushauri wangu Mimi chukua tvs cc125 kama wewe mtu wa mizunguko mingi

Kama unataka private chukua Honda xl,Yamaha,kinglion
 
Back
Top Bottom