Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
Usaliti hajawahi mwacha mtu salamaBaada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
acha kuropoka gentleman, tafadhali sanaLucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable mlikuwepo kwenye mkutano maana nyie ndio wajinga pendwa wa ccm pale mkiongoza kupokea pesa nyingi zile buku 7 kama wauza mabeseni mshahara laki tatu.kigezo shati jeupe na suruali nyeusi.
Watajaa wenye njaa tyuuh hapo. 😂😂😂😂Hicho chama kinadharaulika,wakitaka kujaza Nyomi wapike na ubwabwa hata na mandondo tu!
😩😩😩😂😂😂😂😂Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
Kama ni mpango waoBaada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
Kikubwa Nyomi ionekane kuwaringishia chadema🤓🤓🤓🤓🤓Watajaa wenye njaa tyuuh hapo. 😂😂😂😂
Wachalazwe viboko