acha kuropoka gentleman, tafadhali sana
acha kuropoka gentleman, tafadhali sana
😂😂Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
Naona kameraman kamulika nyomiBaada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
We acha uchochezi-kwani watu huwaoni?Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098
Wanachama wenyewe basi wa CCM wanakubali? 😁 😁 Yaani mambo ni tight kila upande.... Wa nakazi Hawa we acha tu!Kama ni mpango wao
Basi wa kulaumiwa ni viongozi wa Ccm wa Eneo Hilo
Walipaswa wahamasishe wanachama wao kuhudhuria kwa wingi na bendera za chauma ili kubalance upinzani 😄😄😄
Huyu jamaa asingesoma angekuwa mchawi.
Huyu jamaa asingesoma angekuwa mchawi.
Hapo na chopa imetua, Sekretarieti wote wapo.Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa mtu.
View attachment 3413098