Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]
056377250fc3eace5bd2a96fb85b19a9.jpg
49aa677c0a6961d3a0cdac0c3416c7d0.jpg

-Ndumilakuwili-
 
OMG

Si anajulikana yupoje.. hapo anatafuta wakumpatia raha kwa simu ya bure. Ni kama analega watu wa kima cha chini... labda wenye pesa wamemkimbia.. na simu mtu huyo hatapata..
 
Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]
056377250fc3eace5bd2a96fb85b19a9.jpg
49aa677c0a6961d3a0cdac0c3416c7d0.jpg

-Ndumilakuwili-

Nakusikitikia wewe kama umewai kuhisi kuwa Ommy Dimpoz ana akili sawasawa. Niliwai sema na nitaendelea kusema, hawa wanaoitwa mastaa wa bongo wangekuwa raia wa nchi zilizoendelea kwenye matibabu ya kisaikolojia wengi wao wangekuwa ICU wanapata matibabu ya karibu chini ya uangalizi wa madaktari bingwa.
 
Hawa wanaoitwa celebrities wa hapa Bongo wengi hawajielewi na wanapenda sifa za kijinga
 
Hapo kazingua sana.

Upande wa pili tena.
Celebrity wa bongo wachache wanajitambua.
Hapo amekwisha tangaza brand ya hilo company ya wese la vaseline bila kujijua.
Hujamwelewa huyo jamaa kuna za chini ya kapeti jamaa ni joka la kibisa...
Si unajua maguy wana tabia za kuhonga so ikimtafuna vizur unaruka na hio iphone hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni naniu huyo mtu na hiyo post maana yake nini?

Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]
056377250fc3eace5bd2a96fb85b19a9.jpg
49aa677c0a6961d3a0cdac0c3416c7d0.jpg

-Ndumilakuwili-
 
Shida ya exposure ya ukubwani hyoo,wakati marehemu steve jobs ana unveil nadhani Iphone ya kwanza alikuwa bado yuko ujiji na kama alikuwa Dar basi alikiwa hana krismasi zaidi ya mbili tatu mjini
 
Back
Top Bottom