Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

Hapo anamaanisha anataka aliwe kiboga hivyo atakaekubali kumla kiboga Ommy dimpoz anamhonga hiyo aifoni
 
kesho
"account yangu ilihackiwa" or video inatoka,muulize ben pol kama alipata faida za zile picha zake ,watz hatutaki ujinga sasa hiv
 
Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]
056377250fc3eace5bd2a96fb85b19a9.jpg
49aa677c0a6961d3a0cdac0c3416c7d0.jpg


-Ndumilakuwili-
Dahh... Ee mola tutizame waja wako kwa jicho lako la huruma, [emoji188][emoji188][emoji188]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba umpe salamu zangu please nakuomba sana, mwambie nasema ivi "Muosha na yeye huoshwa" ivo tu
 
Jamani mi naona uelewa wangu hauendani na kasi ya wana jf.
Mi naona kaweka mafuta pamoja na simu. Ubaya hapo uko wapi kutangaza biashara au there is something behind?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom