Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaah atakaye mfuturuYani kwamba atakaye "mfuturu jicho" na simu anapewa bure. Mwambieni aje huku keko.
"PAMBANA NA HALI YAKO"
Elimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.
Kweli kabisa mkuuElimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.
Kwake anaona kawaida tu.halafu bila kulipwa chochote 😳 😳 😳
Ngw'ana Kabula
Hawa majamaa wanajielewa sana na ndo huwez sikia wana ugomvi toka kitambo sana kwenye game pamojaElimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.
Au labda anatangaza biashara ya hiyo Vaseline u never knowHuyu atakuwa ******, na mwaka jana aliweka pia... Ofa ya Ommy dimpoz yawatoa mapovu mashabiki
MAISHA YALIVYOKUWA MAGUMU LAZIMA WATU WATAJITOLEA
uko sahihi sanaElimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.
Mkuu utajuaje labda anatangaza biashara ya hizo product mbili na hueanda akawa analipwa vilevilewasanii wabongo ndo maana hawanaga akili??
1.hapo kaitangaza iphone bila kujijua
2. kaitangaza vaseline pia
yote haya bila kulipwa
nahisi hawa wasaniii hawajui value zao
3ametuonesha yy ni mpumbavu wa level gan,,ubongo wake umejaa matapu tapu mtu anaejiheshim hawez kueka caption kama hz kwenye jamii
Sent using Jamii Forums mobile app