Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

Hii post ya OMMY DIMPOZ haileti picha nzuri kwa jamii !!!

Huyo nae ni msanii mkubwa?

Anaonekana anapakuliwa.
 
Elimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.

Unaposema elimu unakosea....wapo wasanii ambao hawana viwango vya elimu kama unavyotafsiri wewe lakini huwezi kuwaona wakifanya mambo ya ajabu kama haya......

Msingi wa mwanadamu kuwa na staha ni AIBU......mwanadamu anapoondokewa na aibu anakuwa kiumbe mwingine...kabisa.....

Haya au aibu ndivyo vinavyomfanya mwanadamu asitembee uchi au kujua kuwa mavazi fulani yanafaa yakiwa mahali fulani.......

Haya na aibu vinakufanya ufikirie Mara mbili mbili kabla ya kuandika au kupost kitu chochote kwa kuwa vyote kwa pamoja vinaifanya akili ifanye kazi bara bara.....
 
Aisee, sasa hicho kilainishi, [emoji15] [emoji16] [emoji16] [emoji16] dah Watu wachache wanaupoteza umma!![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji124] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Naona watu lawama kwa wasanii wa bongo kama labda wasanii wa mataifa mengine wana tofauti na wa kwetu kwa tabia za ajabu ajabu kama hizo.
 
wasanii wabongo ndo maana hawanaga akili??
1.hapo kaitangaza iphone bila kujijua
2. kaitangaza vaseline pia
yote haya bila kulipwa
nahisi hawa wasaniii hawajui value zao

3ametuonesha yy ni mpumbavu wa level gan,,ubongo wake umejaa matapu tapu mtu anaejiheshim hawez kueka caption kama hz kwenye jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wasanii wabongo ndo maana hawanaga akili??
1.hapo kaitangaza iphone bila kujijua
2. kaitangaza vaseline pia
yote haya bila kulipwa
nahisi hawa wasaniii hawajui value zao

3ametuonesha yy ni mpumbavu wa level gan,,ubongo wake umejaa matapu tapu mtu anaejiheshim hawez kueka caption kama hz kwenye jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utajuaje labda anatangaza biashara ya hizo product mbili na hueanda akawa analipwa vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom