PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]
-Ndumilakuwili-
Ay na binamu they are busy seeking their 2.1 billion TshElimu muhimu sana hukuti ujinga kwenye page ya AY au Binamu, njoo kwa domo sijui dimpoz ujinga mtupu.
Hujamwelewa huyo jamaa kuna za chini ya kapeti jamaa ni joka la kibisa...Hapo kazingua sana.
Upande wa pili tena.
Celebrity wa bongo wachache wanajitambua.
Hapo amekwisha tangaza brand ya hilo company ya wese la vaseline bila kujijua.
OMG
Si anajulikana yupoje.. hapo anatafuta wakumpatia raha kwa simu ya bure. Ni kama analega watu wa kima cha chini... labda wenye pesa wamemkimbia.. na simu mtu huyo hatapata..