Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Huenda nae ameipata kwa njia ya kikopo hikohiko.So anasambaza mbinuSi kasema anazo nyingi kwani shida iko wapi
Dahh... Ee mola tutizame waja wako kwa jicho lako la huruma, [emoji188][emoji188][emoji188]Nimekutana na hii post kaipost msanii OMMY DIMPOZ kwenye page yake,kiukweli haileti picha nzuri kwa jamii kwa msanii mkubwa kama yeye kupost ujinga kwenye page yake.
Ipitie hapo chini[emoji116]
-Ndumilakuwili-
halafu bila kulipwa chochote 😳 😳 😳Hapo kazingua sana.
Upande wa pili tena.
Celebrity wa bongo wachache wanajitambua.
Hapo amekwisha tangaza brand ya hilo company ya wese la vaseline bila kujijua.
Huyo atakua sigara kaliHapo anamaanisha anataka aliwe kiboga hivyo atakaekubali kumla kiboga Ommy dimpoz anamhonga hiyo aifoni
wapakuwaji wap awe waziOMG
Si anajulikana yupoje.. hapo anatafuta wakumpatia raha kwa simu ya bure. Ni kama analega watu wa kima cha chini... labda wenye pesa wamemkimbia.. na simu mtu huyo hatapata..