Hii project yenu Yanga ya kuumiza wachezaji wa Simba haitawasaidia

Hii project yenu Yanga ya kuumiza wachezaji wa Simba haitawasaidia

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, kuna watu undercover walikuwa nyuma ya Coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa, moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji. Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba...
Nadhani ifike mahali serikali iingilie kati, uchumi utapungua nchini, masaa yale yanga wanacheza, vitu vingi huwa vimefungwa, mabasi na bodaboda zimepark, biashara nyingi zimesimama ili tu kwenda kuangalia mpira wa yanga na wanasimba wapo na msongo wa mawazo wanashindwa kufanya shughuli za kiuchumi kwasababu ya hilo. serikali iingilie kati.
 
timu zikicheza jihadi dhidi ya yanga mnasema mpira umekuwa na watu wako serious

zikicheza jihadi dhidi ya nyau utaskia wametumwa, ni mbinu za yanga kuwatoa mchezoni

aya inonga alimchezea hovyo sureboy alitumwa na nan

acheni mkandwe
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Ww n fala uliyechangamka
 
Back
Top Bottom