Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, kuna watu undercover walikuwa nyuma ya Coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa, moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji. Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii