Nadhani ifike mahali serikali iingilie kati, uchumi utapungua nchini, masaa yale yanga wanacheza, vitu vingi huwa vimefungwa, mabasi na bodaboda zimepark, biashara nyingi zimesimama ili tu kwenda kuangalia mpira wa yanga na wanasimba wapo na msongo wa mawazo wanashindwa kufanya shughuli za kiuchumi kwasababu ya hilo. serikali iingilie kati.Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba...
Mchawi ndio mbumbumbu ?Unamawazo yakichawi sana wewe
Kwahiyo na siyekuna timu ilimtuma yule beki wa Namungo akamuumize Lomalisa!?Kuumia kwa mchezaji ni kawaida katika Mpira
Na Yule wa Mtwara alipomuumiza lomalisa na pale alistahili kadi nyekundu alitumwa na wekundu ?
Ukisikia upumbavu ndo huu Sasa. Njooni muone Mtu akiitwa mpumbavu anakuwaje.Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba...
Nawe unasapoti hilo au...??Mchawi ndio mbumbumbu ?
Hahahahahaha, namaanisha uchawi = umbumbumbuNawe unasapoti hilo au...??
NdioHahahahahaha, namaanisha uchawi = umbumbumbu
Ww n fala uliyechangamkaKila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii