Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Rage ajengewe sanamuKila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
Jana Lomalisa kakitwa kwenye paja kadi nyekundu haikutoka na Lomalisa kipindi cha pili akashindwa kuendelea.Ila huwezi kuta Yanga anafikiria huu ujinga wenu sababu anajiamini na wachezaji wake walio benchi.Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
Uliiona ya lomalisa Jana au ndio ukapimwe mkojo.Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
timu zikicheza jihadi dhidi ya yanga mnasema mpira umekuwa na watu wako serious
zikicheza jihadi dhidi ya nyau utaskia wametumwa, ni mbinu za yanga kuwatoa mchezoni
aya inonga alimchezea hovyo sureboy alitumwa na nan
acheni mkandwe
Huyo Inonga alipomuumiza Sure Boy alitumwa na nani.
Wewee... Acha utotoKila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
Haji Ugando amecheza Simba tena alitokea Simba B,Huyo Ugando ni tawi Yanga bila shaka
sasa coastal si timu yenu inakuwaje tena iwe yanga kuhusika na mchezaji wenu aliyeumuzwa na coastal?Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.