Hii project yenu Yanga ya kuumiza wachezaji wa Simba haitawasaidia

Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Rage ajengewe sanamu

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Jana Lomalisa kakitwa kwenye paja kadi nyekundu haikutoka na Lomalisa kipindi cha pili akashindwa kuendelea.Ila huwezi kuta Yanga anafikiria huu ujinga wenu sababu anajiamini na wachezaji wake walio benchi.

Tatizo lipo kwenu na kocha yenu asiyefanya rotation. Au mliwatuma Namungo maana mfadhili wa Namungo ni mshabiki wa Simba na Coast ni ndugu zenu mnazimana mpaka makocha.
 
Safari hii mkifanya uchaguzi wa wazi na haki mtaangukia pua. Wapinzani watashinda ushindi wa kishindo haijawahi kutokea. Raia wana hamu ya kutaka mabadiliko ya sera mbadala. Wapinzani ndio chaguo lao na hii iko wazi kila kona ya nchi. Nyie mtaambulia kura za makada wenu na wale wanaonufaika moja kwa moja na chama chenu ambao ni wachache.
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Uliiona ya lomalisa Jana au ndio ukapimwe mkojo.
 
timu zikicheza jihadi dhidi ya yanga mnasema mpira umekuwa na watu wako serious

zikicheza jihadi dhidi ya nyau utaskia wametumwa, ni mbinu za yanga kuwatoa mchezoni

aya inonga alimchezea hovyo sureboy alitumwa na nan

acheni mkandwe
Screenshot_2023-09-21-17-08-34-69_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Yule nilivyomuona mara ya kwanza tu niliwaza kama kweli anaweza kuwa beki bora. Ametepeta sana. Halafu ile ajali alikuwa na nafasi kubwa ya kuikwepa kabisa,lakini akajichomeka tu hivyo hivyo. Mechi yenyewe hii ilikuwa lain kabisa kwa mikia ksbb walikuwa wanacheza na mtoto wao,lazima wachukua point. Wangecheza kwa ku-relux tu. Hii mechi haikuwa ya kuumia hii
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Wewee... Acha utoto
 
sasa coastal si timu yenu inakuwaje tena iwe yanga kuhusika na mchezaji wenu aliyeumuzwa na coastal?
 
Nafuatilia uzi huu naona asilimia kubwa wanaochangia ni kama wake wenza na bwana yao amesusa kulala kwao wiki ya pili sasa.
Malizaneni kwanza na mabwana zenu kisha mje hapa mkiwa na akili zenu timamu
 
Back
Top Bottom