Asante3000
Naona jamaa amesahau kukwambia gharama!Aaante
Nyumba ndogo namba hiyo inakuwaje Tofali nyingi hivyo ?3000
Acha ujinga, hakuna nyumba ya Tofali 3000 hapo3000
Sio kweli, hakuna nyumba ya Tofali 3000 hapoAaante
Ningeweza kukuambia hapa tofali zote kwa usahihi zaidi, ILAHello wadau kam kichwa kinavyojieleza hapo nilitamani kukua hii ramani itaweza chukua shingapi mpk kukamilisha boma tofali ngapi View attachment 1942721
Sitting room ya foot saba ????Ningeweza kukuambia hapa tofali zote kwa usahihi zaidi, ILA
Kwa ramani uliyoweka nathubutu kusema siwezi kupoteza muda kukuambia ni Tofali ngapi.
Ushauri.
Hiyo ramani ni mbovu, nakushauri usiende kujenga nyumba ya hivyo labda Kama mtaenda kuishi mbilikimo tu
Sitting room mita 2.7??? Masihara kabisa haya
We unafikiri itakula tofali ngapiNyumba ndogo namba hiyo inakuwaje Tofali nyingi hivyo ?
Wewe ndio uache ujinga kwa kuleta hesabu kamiliAcha ujinga, hakuna nyumba ya Tofali 3000 hapo
Kama kitu hujui kaa kimya.Wewe ndio uache ujinga kwa kuleta hesabu kamili
Ningeweza kukuambia hapa tofali zote kwa usahihi zaidi, ILA
Kwa ramani uliyoweka nathubutu kusema siwezi kupoteza muda kukuambia ni Tofali ngapi.
Ushauri.
Hiyo ramani ni mbovu, nakushauri usiende kujenga nyumba ya hivyo labda Kama mtaenda kuishi mbilikimo tu
Sitting room mita 2.7??? Masihara kabisa haya
Kwa makadirio yangu ya kilayman hicho kijumba hakivuki tofali 1500.We unafikiri itakula tofali ngapi
Asante kiongozi,Mkuu kuna aina tofauti tofauti za living room/area...
Mfano hiyo ya ramani ya jamaa inaitwa "gallery design"...huwa ni mfano wa korido kubwa...sio common sana kwa nchi za kibongo
Kitu pekee cha kumshauri hapo ni kwamba upande mmoja huu ilipo veranda badala ya kuweka mlango na dirisha basi aweke mlango mkubwa mithili ya milango ya fremu ili huohuo uwe ni mlango/dirisha...
Kwa tofari 1,500/ uko sawaKwa makadirio yangu ya kilayman hicho kijumba hakivuki tofali 1500.
Nyumba yenye urefu wa ft 24 ile Tofali 3000 ??
Msitishe watu bure ndugu zangu
Haitafika hizo Tofali mkuu hiyo nyumba ni ndogo sana labda msingi uwe futi 6 kwenda chini.Asante kiongozi,
Kwa kuangalia tu ni approximate matofali kama 2000 hivi ila, inaona kama iko compressed sana pia Wapi utaita mbele ya nyumba na pawe na muonekano huo?