Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

Hii ramani ya Palestina na Israel ni ya kweli ?

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza
images (27).jpeg
 
wewe ndio unaonekana hata huelewi wala hujui kusoma. Hiyo green ni palestina, ila baada ya ww2 ndio Israel kuanza ku force kukalia ardhi ya palestina na mpaka hapo mwisho nguvu za mataifa ya magharibi zimetumika kufanya waisrael kuikalia ardhi ya palestine kwa zaidi ya asilimia 90.

Ni uonevu wa waziwazi kabisa. Israel hawana nchi bali ni wavamizi wa nchi za watu tu ndio maana walipovamia kule German Hitler aliwaonyesha chamtemakuni
 
Unateseka ukiwa wapi shehe wetu.
 
Tumkabidhi maisha yetu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

Kupitia yeye Allah ametupa Tawfiq. Na tuna uhakika wa jannah na Firdaus.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu.
 
Kama kweli ,hawa wapalestina wa bongo wanayaelewa haya ? Au wanashabikia tu vita vya gaza View attachment 3057539
Ulikimbia Shule? achana na propaganda za wapumbavu fanatic Muslims.. Hilo jina Palestina ni Jina chukizo kwa Waisrael lilianza kuitwa na Roman Empire ili kuwaudhi Waisrael waliogoma kutawaliwa kwao na Roman Empire so wakafurushwa na nchi yao ikaanza kuitwa Palestina ambayo tafsiri yake ni Wahamiaji in English Immigrants Land..

After Roman akaja Mtumwa wa Allah Umary ndie alienda kupeleka uzao wa Arabs wachache wakaishi na Jews huku wakiwatawala Jambo lililosababisha wengi kuhama hama na kutapakaa Duniani.. Eneo hilo tawala zilibadilishana hadi Ottoman ambao ndio Uturuki ya Leo, Then United Kingdom, Jews walipopata shida wakataka kurejea kwenye maeneo yao ya Asili na Wakaanza kurudi kwa wingi from kona zote za Dunia.. hawakunyang'anya mtu Ardhi waliuza same na wazaramo wanavyouza ardhi zao Dar.. Wimbi la ununuzi arabs wakaona eh wanakuja kufutwa ndio timbwiri likaanza Waingereza wakawagawa Arabs na Jews Arabs Jordan na Jews Tel aviv na maeneo kadhaalike nusu nusu... Israel ikatangaza Uhuru kujitawala Uk akasepa.. Arabs wakaanza Genocide kuteketeza Jews land yote hata wale Jews wa Asili walikuwepo hadi maeneo ya Jordan wakafanikiwa maeneo ya arabs ila kwingine wakakwama.. so Israel akaona hawa ni animal watatumaliza Wakatoa kipondo na wakawasamehe Arabs ila wakawondosha maeneo ya karibu na wale arabs makatiri yakafukuzwa ila bila kuuwawa ndio hao wakimbizi Lebanon,Syria na Jordan..

Arabs wakipiga marufuku kuuza ardhi ila njaa kali waliuza sasa wahuni wanaotaka kuchange ukweli kuwa uongo wanadanganya watu hadi misikitini.. Israel hajanyang'anya mtu ardhi.. except cost za war kutaka kuwafuta Jews there is always a price to pay.

Hakujawahi kuwa na Serikali ya Arabs Palestine before, Arafat ndie alianzisha chama cha siasa kisha akajiita Palestines kama kulipresent Arabs wa eneo hilo.. but sio kwao na Arabs wengi hapo asili yao ni Misri even Arafat ni mu egypt 100%
 
Waliomba kuingiza kichwa tuu Sasa wameingiza yote🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
wewe ndio unaonekana hata huelewi wala hujui kusoma. Hiyo green ni palestina, ila baada ya ww2 ndio Israel kuanza ku force kukalia ardhi ya palestina na mpaka hapo mwisho nguvu za mataifa ya magharibi zimetumika kufanya waisrael kuikalia ardhi ya palestine kwa zaidi ya asilimia 90.

Ni uonevu wa waziwazi kabisa. Israel hawana nchi bali ni wavamizi wa nchi za watu tu ndio maana walipovamia kule German Hitler aliwaonyesha chamtemakuni
Taifa la Israel lilikuwepo kabla ya ujio wa Uislamu, Quran na Wapalestina
Hapo kulikuwa na wafilisti na siyo hao wa ⭐🌙 wapalestina wanaotumia maandishi ya kiarabu.
Ukijenga nyumba kwenye kiwanja siyo chako hata ipite miaka 200 wakija wenye mali unaondoka ni sawa na Tanganyika ilipotawaliwa na Wajerumani na Waingereza
 
Back
Top Bottom