Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match)
Kesho yake
Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup)
Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania
Siku nne baadae,
15/6/2025 Yanga vs Simba
18/6/2025 kenGold vs Simba
22/6/2025 Simba vs Kagera
NB: Ratiba ya Simba ndio hiyohiyo ya Yanga
Na leo kikosi cha Tanzania kimeanikwa..Key players wote wa Yanga na Simba wote ndani.
Vipi kwa ratiba hii, michezo itachezeka?