Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
nakazia #HATUCHEZI 15/06Sisi yanga tunaona ratiba iko vizuri kabisa tangu msimu uanze hadi sasa
Uko sahihi mkuu..Sisi yanga tunaona ratiba iko vizuri kabisa tangu msimu uanze hadi sasa
Nitapata wapi Kodi mkuu wakati nimeshampa yanga mazima na mkeka unasoma parefu!?tuchezenakazia #HATUCHEZI 15/06