Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

Hii ratiba mpya ya SGR mbona kama treni ya haraka ndo inaenda polepole kuliko ya kawaida

kocha Nabi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
709
Reaction score
1,881
Screenshot_20240705-162124~2.png
dkk 8 tu zimeachana uharaka wake upoje ama mimi ndo sijaelewa.
 
Zimepishana kama lisaa na kidogo ila ngoja wataalam wakokotoe
 
Zimepishana kama lisaa na kidogo ila ngoja wataalam wakokotoe
hesabu za kawaida kutoka 12:00 hadi 1:41 ni lisaa na dkk 41
na kutoka 3:30 hadi 5:19 ni lisaa na dkk 49.
ingefika saa 5:30 ingekuwa masaa mawili kamili. so zimepungua dkk 11 ndio maana imekuja lisaa na dkk 49.
 
Back
Top Bottom