Hii record ya Yanga haiwezi kuvunja Tena Tanzania

Hamna kitu kama hicho banaaa. Mmeamua tu kuleta nyuzi zenu za kishabiki kisa mmemfunga yule mwarabu koko. Bhaass hakuna kingine hapo.

Una hakika gani kwamba tutashiriki mashindano ya Kimataifa mwakani na kufika huko makundini?
Na nyie mumfungage basi hata mwarabu ugali hahahhahahhahahaaahahaaah
 
Yaani hapo umefikiri hadi umetokwa jasho kila sehemu yako ya mwili ndo ukaja na uzi huu.
Kweli mikia mmechoka
 
Mkuu, mi sina mateso yoyote ila naona unajifariji kwa kinachoendelea kwa yanga na mikia TPL.

Hata huko najua hamfiki mbali. Karibuni nyumbani in advance
subiri jumamosi uone wale wazee wa ndombolo wanakavyocheshwa Singeli

Si uliona waarabu walivyotapika wali Nazi pale kwa mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natunza maneno yako Mkuu sababu jumamosi sio mbali atii.

Kwa sare hilo sahau.
We tunza maneno yangu,na urudi hapa jmosi baada ya mechi. Wale tunawapiga kulekule kwao na wakijitahidi sare tena ni sare ya mabao. Safu ya ushambuliaji ya Simba ina njaa sana,siyo rahisi kumaliza dakika 90 bila kufunga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali Mkuu. Na hapo umepatia inawezekana kabisaa mkafunga goli ila si ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…