Simba anaweza kupata matokeo popote pale wako vizuri kule Congo matokeo mabaya kwake labda drooHahaaas. Naona umelewa sifa ya kumfunga mwarabu koko eee. Hivyo Swahiba kwa maana hiyo mtashinda nje ndani mechi zote sita?
Nipitie twende nikawazomee.
Hivyo unataka kusema mpaka mwisho wa mechi za makundi mtakuwa na point zaidi ya 10?Simba anaweza kupata matokeo popote pale wako vizuri kule Congo matokeo mabaya kwake labda droo
Al alhy ndo watamsumbua kule Misri siunajua fitna za waarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo unataka kusema mpaka mwisho wa mechi za makundi mtakuwa na point zaidi ya 10?
yaani Mikia bana.Hahaahhaa Mikia bana kweli nyie ni Mambumbumbu. Yaani kumfunga yule Mwarabu Koko wa Pemba ndio mnajiona ndio mmefika. Jumamosi si mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mikia ni shida. Wanasahau kuwa huu mchezo unayo matokeo matatu.Wanadhani Vita Club ni kama wale Waarabu Koko.
Yani mikia ni shida. Wanasahau kuwa huu mchezo unayo matokeo matatu.
Hiyo siku watazimia sana tu
Mbona unajipiga chenga mwenyewe na kuanguka?
Ebu taja mechi yenye matokeo matatu mkuu?Mbona unajipiga chenga mwenyewe na kuanguka?
Mpira wa miguu una matokeo matatu, wewe unasema tokeo moja halafu unayataja matatu. Mkifungwa ndo mtavurugwa zaidi
Na kufa kabisa sababu huwa hawachelewi. π€£π€£π€£Yani mikia ni shida. Wanasahau kuwa huu mchezo unayo matokeo matatu.
Hiyo siku watazimia sana tu
Tofautisha kati ya
Mechi ya mpira Ina tokeo moja tu hayo matatu umeyatoa wapi mkuu?Tofautisha kati ya
MATOKEO MATATU: SARE, KUFUNGA au KUFUNGWA na
MATOKEO MATATU: SARE, KUFUNGA na KUFUNGWA
Mi naongelea kauli ya kwanza mkuu, kama nilivyoongea awali.
Hahahaha na smartphone zitakuwa zimeibwaNa kufa kabisa sababu huwa hawachelewi. π€£π€£π€£
Wa humu jf Network ndio zitakata yaani tutawaona after two or three days πππ
Umesoma nilichokiandika lkn mkuu?
[emoji3][emoji3]were kweli Mgogo wa jangwani bakuli limekulevyaUmesoma nilichokiandika lkn mkuu?
Au ndo kuingia na mzuka wa rage kwenye mziki wa blues?
Huu utabiri ukitimia basi robo fainali tunaingia kibabe! Kudadadeki
Sawa bhana ngoja tukubaliane kuto kukubaliana.[emoji3][emoji3]were kweli Mgogo wa jangwani bakuli limekulevya
Inamaana huelewi ninachosema au
Soma vizuri tangu mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app