Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepata Bakora
🤛🏿Mmh. Nimekaa najiwazia tu Swahiba kwa mashindano gani anayoshiriki yanga mwaka huu mpaka ukaleta hizi rekodi zako?
Usitukane Mamba huku hujavuka mto. Yanaweza yasifikie idadi ya Yanga ila kwa Wingi wake na Kikosi chenu ikawa ni zaidi ya aibu mwenu. Tusubiri tuone.
✋🏿Breaking news from KinshasaHahaahhaa Mikia bana kweli nyie ni Mambumbumbu. Yaani kumfunga yule Mwarabu Koko wa Pemba ndio mnajiona ndio mmefika. Jumamosi si mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
🙏🙏🙏
Woooiiii. Vice Versa is true.
Na limewakomesha janaa. Yaani wamelala hoiiii.
Hivi Mkuu habari za Mikia unazo? 😅😅😅Ushindi dhidi ya Waarabu wa Chalinze umewapa kiwewe. Wataongea lolote hadi mechi za kwenye kundi ziishe.
Ninazo, nitazikosa vipi?Hivi Mkuu habari za Mikia unazo? 😅😅😅
Kabisa na watayaamini maneno ya DaudaNinazo, nitazikosa vipi?
Nadhani sasa watakuwa na uhalisia zaidi.
Mkuu rurdi utuambie "Mbwa koko" ni yupi kati ya mikia na AS Vita!!?
Limewatimkia mkuu wala sijamsikia yule msemaji wao wa YES we can!!!Vumbi la kongo linawasubiri
Bahati mbaya hata real Madrid walifungwa 5 na BarcelonaWoooiiii. Vice Versa is true.
Hamna utetezi leo mnabakia tu kujifananisha. 😃😃😃
Kwani nimefungwa Mimi swahiba?Hamna utetezi leo mnabakia tu kujifananisha. [emoji2][emoji2][emoji2]