comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi ππππ
Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe, naburuza hadi nichoke mimi, sasa kama watu maarufu NI kama maiti unaburuza tuu, raia asilimia kubwa hawajielewi kwanini nisifanye hivyo?! ππ
Kuna jamaa langu Jana eti linamsifia Abdul kua " jamaa ana hela aisee Yule anakula maisha, Acha ale maisha hata riziwani alikula Sana " π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ mtu anaesema hivyo maisha yamemchapa kachakaa mbaya
Hii nchi hata iuzwe yote ibaki mikoa mitatu Tu watu maarufu na machawa NI kama maiti tuu watasapoti tuu, NI kama hawana ubongo kwenye vichwa kuna matope