Pre GE2025 Hii Samia challenge inayofanyika Instagram ndiyo tusemehe uchawa wa viwango vya kimataifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe, naburuza hadi nichoke mimi, sasa kama watu maarufu NI kama maiti unaburuza tuu, raia asilimia kubwa hawajielewi kwanini nisifanye hivyo?! πŸ˜†πŸ˜†

Kuna jamaa langu Jana eti linamsifia Abdul kua " jamaa ana hela aisee Yule anakula maisha, Acha ale maisha hata riziwani alikula Sana " 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mtu anaesema hivyo maisha yamemchapa kachakaa mbaya

Hii nchi hata iuzwe yote ibaki mikoa mitatu Tu watu maarufu na machawa NI kama maiti tuu watasapoti tuu, NI kama hawana ubongo kwenye vichwa kuna matope
Chuki humchoma aliyeihifadhi
 
ndio nini sasa
 
Unafikiri hawana ubongo basi ni kwamba tu umeshindwa kujua kua dunia ya sasa watu wamejawa ubinafsi tu… Yaani mtu anajijali yeye na familia yake tu hivyo ukifanikiwa kumzingatia mtu kwenye hilo basi haoni shida hata taifa zima likiteketea.
 
Back
Top Bottom