Pre GE2025 Hii Samia challenge inayofanyika Instagram ndiyo tusemehe uchawa wa viwango vya kimataifa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chuki humchoma aliyeihifadhi
 
ndio nini sasa
 
Unafikiri hawana ubongo basi ni kwamba tu umeshindwa kujua kua dunia ya sasa watu wamejawa ubinafsi tu… Yaani mtu anajijali yeye na familia yake tu hivyo ukifanikiwa kumzingatia mtu kwenye hilo basi haoni shida hata taifa zima likiteketea.
 
Aipandishe hadhi liwe tukio la kitaifa.
 
Kwa mujibu wa Kiboko ya Wachawi ni kwamba Watanzania ni wendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…