Hii sasa balaa

jitupori

Senior Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
199
Reaction score
77
Leo nlikuwa zangu nachat facebook!!!.... mara meseji ikaingia
Kufungua nakutana na smm kutoka kwa binti
Binti: vepe mzm ww
Mimi:me nko pw xijui ww
Binti:me mzm duh umenisusa wangu
Nikaona huu xx utata nikaamua kuto reply.
Baada ya dakika 7
Binti: vepe wangu umekula??
Mimi: ndiyo nakula xaxa hv karibu
Binti: asante.ntumie elfu5 nkanunue chipsi
Mimi:[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wakuu mkiona ni busara kutushirikisha mambo yenu tena kwa lugha yetu adhimu hakikisheni hampotoshi matumizi sahihi ya herufi.
 
Na kweli hii ni balaa siyo kwa lugha iyo[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Mnatutia kinyaa na huu uandiahi wenu wa huko fesibuku shwainii...[emoji51] [emoji34]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…