Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Ila wamelirudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe rekebisha kiswahili chako unajua maana ya neno tahiri??Matahiri yamechoka
Gari used na watamwambia asibandue hayo matangazo kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora wangenunua cake tuGari used na watamwambia asibandue hayo matangazo kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KWELI AISEE MATAHIRI YAMECHOKAMatahiri yamechoka
MatairiMatahiri yamechoka
Zawadi ni zawadi kwani wanawadhalilisha vipi ,hivi wwe ukipewa gari kama hiyo wakati hata baiskeli huna utaikataa,kwa kazi gani hadi mtu apewe gari jipya?kwa kukenua meno na kuonyesha vyupi?fanya kazi pata gari jipya,kenua meno pata gari mtumba,hapa hakuna dharau,wewe mleta uzi ndie unaleta dharauAngalia hii zawadi ya Miss Kanda ya Ziwa 2018 (Miss Lake Zone) ifike wakati sasa tuache kuwadhalilisha mabinti zetu tunaua morali na vipaji kwa upuuzi kama huu....#WTFView attachment 825629View attachment 825630
UPDATES
==============
Baada ya Picha ya gari kimeo kwa ajili ya zawadi ya miss kanda ya ziwa kusambaa mitandaoni....
Waandaaji wa Miss Tanzania, The Look Company kupitia kwa Mkurugenzi wake Basilla Mwanukuzi wameikataa zawadi hiyo ya gari aina ya Passo yenye thamani ya shilingi Milioni 8,kwa mujibu wa Mwanukuzi amesema wameandikia barua waandaaji wa Miss Lake Zone kuwa wabadilishe zawadi hiyo huku nakala ya barua hiyo pia ikipelekwa BASATA.
Mwanukuzi amesema waandaaji wadogo wadogo wa mashindano kama hayo hawana ulazima wa kutoa zawadibkubwabkubwa na badala yake wanatakiwa kuwaandaa na kutafuta warembo kwa ajili ya mashindano makubwa ya Kitaifa.
Mashindano hayo ya miss Lake Zone yanatarajia kufanyika keshoJumamosi, august 4,jijini Mwanza.
Hahahhahhaha Hahhahaha.... Wewe mtu weweeeeeDah kiukweli hizi ni Dharau Kavu kwa hawa Mabinti kwanini wasiwapatie basi hata Memory Card ya GB 60 kuliko hako kagari.
Jina gani?...hilo sio jina langu halisindo hivyo, alafu unajua una jina kama la dada yangu?
Wewe mtata ntakutahiri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91]Wewe rekebisha kiswahili chako unajua maana ya neno tahiri??
duh ? pwJina gani?...hilo sio jina langu halisi